musicas.mus.br

Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - CCM WAYAAA! - RAYVANNY - música e letra

Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

CCM Wayaaa! letra


Wayaa, wayaa
Wayaa

Kama kapiga kichuya Wayaa
Kama kafunga Messi Wayaa
Kama kapiga Msuva Wayaa
Kama kafunga Ronaldo

Magufuli kapiga kachapa Wayaa
Wapinzani wameshindwa kudaka Wayaa
Kwenye chama karudi Lowasa Wayaa
Tunawafunga kama Samata Wayaa

Kipondo kipondo
Lazima tuchukue ndoo
Tunavyowapa kipondo
Kama Barcelona kacheza ndondoo

Kipondo kipondo
Lazima tuchukue ndoo
Tunavyowapa kipondo
Kama Barcelona kacheza ndondoo

Barabara kama mbele Wayaa
Kacheza kama Pele Wayaa
Tena reggea zipo tele Wayaa
Shule bure bila kwere Wayaa

Kwenye afya kilimo asante Wayaa
Umecheza kama Ngolo Kante Wayaa
Standard gauge mwendo kasi mwake Wayaa
Umetisha kama Mbape

Kipondo kipondo
Lazima tuchukue ndoo
Tunavyowapa kipondo
Kama Manchester kacheza ndondoo

Kipondo kipondo
Lazima tuchukue ndoo
Tunavyowapa kipondo
Kama Arsenali kacheza ndondoo

Wamebana wameachia
Samia, Suluhu kapiga shuti mbele
Wamebana wameachia
Kassim Majaliwa kama ameandika gere

Wamebana wameachia
Dr Sheni kawakaba shingoni
Wamebana wameachia
Mwake amepanda mpira kama Morrison

Pole pole anapiga shuti Wayaa
Mangula anapiga shuti Wayaa
Mangwala anapiga shuti Wayaa
Makonda anapiga shuti

Wigulu chemba anapiga shuti Wayaa
Majaliwa anapiga shuti Wayaa
Mama Samia anapiga shuti
Magufuli anapiga shuti Wayaa

Kona goli, eeh
Kona goli, eeh
Kona goli, eeh
Kona goli, eeh

Rayvanny - Letras

top 30 músicas

©2003 - 2026 - musicas.mus.br